Equation x
JF-Expert Member
- Sep 3, 2017
- 41,624
- 65,097
- Thread starter
- #21
Tusijitese sana, tukumbuke pia kula maisha"Life is too short"
Tusijitese sana, tukumbuke pia kula maisha"Life is too short"
😂 😂 sawa mkuuHapa natembea na chandarua mbu aniumi 😀 😀
Agiza yale maji makali hapo, nakuja kulipaSawa nimekuelewa
Eeeeh hapana njoo ulipie kwanza nisije jikuta najilipia maanAgiza yale maji makali hapo, nakuja kulipa
Unaweka shida chini 😀 😀 😀Yaani Safari Lager 🍺 ikishaingia kichwani hata asie na tako(flat screen) naona ana trakoooo🤣
Hata nyumbani sitakiUkinikuta Bar usinipe ushauri
Pia ni muhimu kuishi bila kuwakwaza wengine, kimaamuzi, kinafiki, choyo n.kKingine ujue kuwa hautaondoka hapa duniani mpaka ukamilishe kusudio lililokuleta hapa duniani. Katika yote hayo ni vyema na tuishi with simplicity, compassion, patience, huku tukijua kuwa when nothing is done, nothing is being left undone. Na katika yote tusisahau Letting it GO with HARMONY😊
Na ukilisimamia hilo, utakuwa na furaha muda woteUkitupa zitarudi mim nimezizika kabisa nachagua maisha rahisi ninayoyafahamu mimi mwenyewe
Ndio hivyo vinaangukia kwenye compassion and patience. Chuki, Roho mbaya, negativity hukaribisha mikosi tu kwenye maisha. Ni bora kuvikwepa hivyo ili kuishi kwa amani na furaha telePia ni muhimu kuishi bila kuwakwaza wengine, kimaamuzi, kinafiki, choyo n.k
Kwa sababu unaamini bia ndio mshauri mkuu au?Ukinikuta Bar usinipe ushauri
Hahaha sasa unataka upewe ushauri ukiwa ofisini tu?🤣🤣Hata nyumbani sitaki
🤣🤣🤣Kwa sababu unaamini bia ndio mshauri mkuu au?
Waambie wakupe na supu ya sato mzimaEeeeh hapana njoo ulipie kwanza nisije jikuta najilipia maan
Dogo unatoa ushaurikua makini lakini, usije ukala maisha, uka-overdose, ukafa....
Safar larger ya uvugu uvugu..Yaani Safari Lager [emoji481] ikishaingia kichwani hata asie na tako(flat screen) naona ana trakoooo[emoji1787]
[emoji1][emoji1][emoji1][emoji1]Zawadi kubwa tulionayo kwa sasa ni uhai, na tunaishi mara moja tu. Kila mmoja amepangiwa miaka yake ya kuishi; wengine 70, 50, 60, 30, 12, 99 n.k
Kutokana na mazingira hayo, miaka tuliyopewa inabidi kuitumia vizuri katika kufurahisha nafsi zetu; kama una uwezo wa kuzunguka dunia nzima fanya hivyo, kama una uwezo wa kula pisi kali zote fanya hivyo n.k n.k, kwa sababu haya maisha hayajirudii, ukifumba umefumba.
Tusijitese sana na kuumiza miili yetu katika ulaji, eti tunabana matumizi ili tuweze kununua tofali! Uko ni kujitesa; maisha ni sasa.
Hapa nimekaa kwenye kiti kirefu, navizia pisi kali yoyote ije iniliwaze.
Kula maisha, maisha ni sasa.
Hahaha sasa unataka upewe ushauri ukiwa ofisini tu?🤣🤣