sasa si ndiyo take home nilizozihitaji summary, nimekosea wapi? Nyie vijana wa UDOM taabu sanaMkuu tuliza akili vizuri, kazungumZia mgombea wa uraisi wa ccm namna alivyopitishwa, wewe ngomea uraisi wa ccm aliyepitishwa humjui??
kazungumZia kikwete kushiriki jambo ambalo halina uhalali, wewe kikwete humjui?
kazungumZia kuwa ccm huwa inafanya internal regime change kila baada ya miaka 10 kutokea 1995, hivyo hata Sasa inapaswa ifanyikr internal regime change
2. "Uongozi siyo mali ya baba yako lazima uombe kwa unyenyekevu" Mwisho wa kunukuuCore message Polepole would want his listerners /Tanzanians to retain
1. Ukiukwaji wa katiba na taratibu za CCM..............fomu moja ya "mgombea" (hajamtaja