Pole sana....wenye mapenz ya ukweli tupo hapa sema tu hatuna hela.Eti wapendwa?
Maana kiukweli bila kupepesa macho upendo wa kweli wa muda mrefu hakuna yaan umekwisha...yaan asilimia kubwa upendo wa kweli umebaki wa siku moja tu siku ya mgegedo yaan baada ya hapo ndo bas tenaa.Tufanye nn kulenga mulemule yaan kupata msahihi kwako ili at least mdumu hata kwa wiki tatu angalau(ha ha haa,aisee)
HakikaAkikupenda mama inatosha,
Achana na hiyo kitu inayoitwa mapenzi, fanya Mambo mengine, jipende wew mwenyewe na mapenz yawe sehem tu ya kusurvey ama kutalii na kupunguza ham[emoji23].
Ukichukulia sirius haya mambo utakufa siku si zako, siku zinavyozidi kwenda ndipo uaminifu unapungua, uhuni wa kila aina umetawala ktk mapenzi.
Unaweza mpata muaminifu, lkn ana tabia za hovyo zisizovumilika, pia unaweza mpata mtiifu na mpole kumbe chini ya carpet ni silent killer, inshort we vumiliaga tu ulipo ndipo wengine wapo.
Acha kila mmoja ateseke alipoOna sasa mkuu
alafu na unakuta hunipendi kia sina hela 😂Shida inaanzia hapo,,yaan nawe ukipata hizo pesa mapenz ya kweli sijui yanaendaga wapi
Sanaa,mabaya sana yaanKatika haya maisha mwanadamu anahitaji vitu vitatu vya muhimu sana ili aweze kufurahia maisha ambavyo ni
1. Something to hope
2.something to do
3.someone to love
Endapo ikitokea akakosa hata kimoja hakika maisha yake yatakua ya tabu sana kwahyo lazima mtu apate mapenzi kutoka kwa mtu anaempenda. Neno mapenzi hayakimbiliki popote pale duniani labda uwe hauna moyo
Ndio hivyo tena fimbo ya mbali haiui nyokaVibaya mno
Usiusemee moyoHata ingekuwa karibu moyo ukikataa umekataa mkuu
Action speaks louder than wordsAm sure with that