Tufahamishane shughuli yoyote hapa Morogoro wanaJF

Ally jameison

New Member
Joined
Feb 28, 2020
Posts
4
Reaction score
0
Habari za muda huu,

Natafuta kazi ya usimamizi mauzo, usimamizi viwandani, usimamizi miradi, kampuni yyote n.k. Au kama una connection ya kazi yoyote tuwasiliane.

Nipo Morogoro Mjini.

Namba yangu 0738231441 (inapatikana whatsapp pia)
 
Kati ya mikoa migumu kutusua na huo mmojawapo kwa lengo la kutafuta ajira tena white collar kama ulizotaja hapo. Kuna mwaka nlikuwa hapo baada ya kugraduate aisee zaidi ya vibarua kule tumbaku, kiwanda cha nguo, labda ubebe kreti za pepsi. Kazi za kutumia akili hazipo kwenye huo mji zaidi ya manguvu.
 
Nimecheka sana hata mimi yalinikuta
 
Back
Top Bottom