bona
JF-Expert Member
- Nov 6, 2009
- 3,798
- 1,444
Nimeleta huu uzi apa kuna kitu kinanichanganya kuhusu bei zaz simu hasa izi smart phone, kwa mfano launch price huko ulaya na us unakuta ni ndogo kuliko price kwenye maduka yetu hapa bongo mda mwingine hata twice as much...
Kuna kiini macho gani? mawazo yangu labda siko sahihi ni kwamba wafanyabiashara wanajiongezea tu bei ilimrad au kwa sababu hatuna dealership?? na vp midcom ni dealer wa nokia yeye price zake mbona kama maduka mengine tu!!! nahic bongo tunanunua simu very expensive kuliko hata europe!! nini kifanyike tupate hizi smartphone kwa bei nafuu??