eldamaty_persier
Senior Member
- Mar 18, 2024
- 118
- 285
- Thread starter
- #81
😂😂😂hata awe ke,asitake tupa lawama maana lile genge langu la KATAA NDOA watamcharanga panga za kutosha apa
😂😂😂hata awe ke,asitake tupa lawama maana lile genge langu la KATAA NDOA watamcharanga panga za kutosha apa
Ndio! Ana msuuzo sasa??Rinse ni kusuuza 😂😂😂
Kiporo Cha wali maharage+ chai ya rangi ya tangawizi ni balahaaaaHuyo anataka kupasha kiporo tu anywe na chai ya tangawizi! Akili za kuambiwa chnganya na zako
Sent using Jamii Forums mobile app
Looh 😅Ndio! Ana msuuzo sasa??
How long have you been in UK ? 😂😂😂Kiporo Cha wali maharage+ chai ya rangi ya tangawizi ni balahaaaa
Poa poa mkuuUtani CC kwenye reply ya comment yake
Mambo ni mengi Ms Dejane kwa hii generation z 😂Tatizo huwa tunakosea sana na tunajiwekea mipaka kuwa siwezi pata mwingine kama huyu,kumbe kuna watu bora zaidi ya huyo kidampa,change your mind iaminishe akili yako unahitaji mwanaume wa anai gani kisha tulia atakuja na hatakusumbua
Niliondoka na governor Richard Turnbull 1961 baada ya uhuru 🤌😂😂How long have you been in UK ? 😂😂😂
Hivi Kuna alpha female pia?achana naye mkuu....hakuna mtu hapo safari hii atakupiga tukio la mwana ukome.
yangu ni hayo🚶♂️🚶♂️
yeah wapoHivi Kuna alpha female pia?
Sifa zake🤌yeah wapo
high levels of confidence, assertiveness, ambition. Independent, zipo nyingi sifa zao ila hizi ni baadhi tu.Sifa zake🤌
KeKwani mtoa mada wewe ni jinsia gani?
Kiujumla jamaa anataka aifanye chapa ilale