Tuendelee au nimuache aende zake

Tuendelee au nimuache aende zake

Kiuhalisia wanaume wengi huwa hatuwezi kumtamkia moja kwa moja mwanamke kuwa "sikupendi" hasa tukionyeshwa na wanawake kuwa tunapendwa kuna muda huwa tunawatafutia makosa ili tuachane tukikosa hayo makosa huwa tunaanza kujitenga kwa kukata mawasiliano.
Mtafika mbinguni mmechoka sana😅
 
Mtu ambae amekupitezea bila sababu mara nyingi akirudi anarudi kwa sababu so kuwa makin na njia Bora ni kuendelea na maisha yako
 
Wakati wote huo ambao alikuwa hapatikani nlikokuwa ni mtu mwenye mawazo, huzuni, hasira,kulia,kisirani na nikawa mtu wa tofauti kbs!

pumbavu kabisaaa.Dunia imejaa warembo namna hii wee unakaa na mawazo na kulia mwanaume kamili na halisi.
Wengine kuachwa na demu huwa tunaona kama mkeka umechanika tu.
 
😂😂😂😂 Umenichekesha na vitu vitatu
 
Wakati wote huo ambao alikuwa hapatikani nlikokuwa ni mtu mwenye mawazo, huzuni, hasira,kulia,kisirani na nikawa mtu wa tofauti kbs!

pumbavu kabisaaa.Dunia imejaa warembo namna hii wee unakaa na mawazo na kulia mwanaume kamili na halisi.
Wengine kuachwa na demu huwa tunaona kama mkeka umechanika tu.
Macho yanguuuu 😭😭😭😭😭
 
Back
Top Bottom