Tuendelee au nimuache aende zake

Tuendelee au nimuache aende zake

Kumbuka changamoto yenu kubwa ni Distance. Kama bado itaendelea kuwepo then bado Hali hyo itaendelea kujirudia rudia mpaka utakapo shikwa na akili.

Cha msingi, kama bado una hisia nae pasha kiporo, endelea na shughuri za kujenga taifa
 
true love is sacrifice,

ni ama muandamane pamoja huko aliko, ama muambatane pamoja uliko 🐒

vinginevyo ni wastage of time and attractions of stress 🐒

Kwanza kazaliwa 200...? JF ilishakua ya low mind si great thinkers tena.
Aseee! Tumekuwa mind Tena🤌
 
Back
Top Bottom