Sawa.
Reliability ya mfumo huu ni ndogo kuliko mfumo wa umeme wa jua.
Kwa kifupi kinachohitajika ni wind turbine (Pangaboi), Generator ya DC iwe ni 12 au 24 Vorts, Battery, Power invetor, na Flexible cables au cords.
Kama mada inavyo jieleza. Nishati ya muhimu hapa ni upepo ambapo utazungusha Pangaboi . Na pangaboi itazungusha Generator kupitia shaft. Na Generator itafua umeme utakao charge battery [emoji367]. Baada ya umeme kutoka kwenye battery utaingia kwenye Invetor na kubadilishwa mkondo toka DC 12/ 24 Volts na kupelekwa AC 220/ 240 Volts ambapo ndo utafaa kwa matumizi ya kawaida ya majumbani. Pia umeme huo wàweza tumika bila invetor ilimradi tu uwe na vifaa (Applience) vya DC
Changamoto ipo kwenye upepo. Je eneo husika lina upepo??? Unavuma kwa kasi ipi?? (m/s or Km/hr) unavuma kwa muda gani (Time length), Na unavuma muda upi (Mchana, jioni, Asubuh, usiku)
Kuna jamaa wapo ubungo external upande wa kushoto kama unatoka Buguruni. Wapo jirani na BW. Mkapa export processing zone wana Turbine zinazunguka pale ila sijui kama ni za kazi gani.
Pia kwa upande wa DC generator nadhani upatikanaji wake ni mgumu ila nadhani zipo madukani pia zipo Kweny Labs za umeme DIT. Ila kama ni shida Unaweza tumia Altanetor za Gari coz nazo ni DC generator