tuelimishane jamani | JamiiForums | The Home of Great Thinkers

Dismiss Notice
You are browsing this site as a guest. It takes 2 minutes to CREATE AN ACCOUNT and less than 1 minute to LOGIN

tuelimishane jamani

Discussion in 'Tech, Gadgets & Science Forum' started by tata mvoni, Aug 29, 2011.

 1. tata mvoni

  tata mvoni JF-Expert Member

  #1
  Aug 29, 2011
  Joined: Jan 14, 2011
  Messages: 540
  Likes Received: 2
  Trophy Points: 33
  Jamani mie siyo mtaalamu kabisa wa mambo ya electronics ila nina tatizo kidogo naomba tusaidiane.LEO MCHANA nilikuwa mahali fulani halafu nikawaona jamaa wanabishana kuhusu hizi T.V za kisasa zenye vioo vya LCD,LED na PLASMA.mmoja akasema t.v zenye LCD huwa crystals zinaisha akaenda mbali zaidi akasema life expectancy yake ni masaa 60,000.Mwingine akasema t.v zenye LED ni nzuri zaidi kuliko LCD pia naye akasema t.v za LED life expectancy ni takribani masaa 100,000 Hii ina maana kwamba baada ya muda huo kupita DEFINITION huwa inakuwa mbaya yaani zitaonyesha giza-giza fulani.ila hawakuzungumzia chochote kuhusu t.v za PLASMA.maswali 1)je,ni kweli tv za LCD baada ya muda hizo crystals huisha? 2)kati ya tv ya LCD,LED na PLASMA ni ipi nzuri zaidi? 3) kioo cha t.v ya plasma kimeundwa na nini?.AHSANTENI
   
 2. Kahtan Ahmed

  Kahtan Ahmed JF-Expert Member

  #2
  Aug 30, 2011
  Joined: Aug 24, 2011
  Messages: 510
  Likes Received: 71
  Trophy Points: 45
  ni kweli kabisaaaaaaa haina ubishi!
   
 3. tcoal9

  tcoal9 JF-Expert Member

  #3
  Aug 30, 2011
  Joined: Apr 5, 2009
  Messages: 255
  Likes Received: 1
  Trophy Points: 0
  Wana JF wamejadili kwa kina sana hili swala la hizi TV. Fungua hapa

  Pia waweza kupitia hapa (Afroit)
   
Loading...