Woyo woyo woyooooo
Kila mtu apambanie mechi zake tu kwakweliNadhani cha kuelewa hapo ni kuangalia nyuma ya pazia vile namna watu wanavyopata pneumonia kwa wingi basi wewe na wanaokuzunguka mnachukua tahadhari.
Sababu kauli nyingi zinaashiria kabisa kwamba ugonjwa upo.
Kabisaa Mkuu. Kwani hamna ambaye atasema dhahiri kuwa hiyo kitu ipo.Kila mtu apambanie mechi zake tu kwakweli
Hapa ni ushindi binafsi hakuna kusubiria la mgambo