Tudumishe amani kwa kukubali matokeo

Tudumishe amani kwa kukubali matokeo

Kesho ni siku ya kumpata mshindi wa na kutangazwa kwa Rais wa awamu ya tano. Kwa matokeo yanayoendelea kutangazwa yameshatoa mwanga ni nani atashinda.

Ukweli ni kwamba John Pombe Magufuli ndiye mshindi na Rais mteule.

Nikiwa mwana Chadema napenda kushauri tukubali matokeo kama yatakavyo tangazwa. Hata tusipokubali matokeo CCM watalazimisha iwe isiwe. Hivyo naomba busara tu itumike tukubali na tumuunge mkono Rais mteule bila kutokea kwa vurugu.

Mungu ibariki Tanzania Mungu Mbariki Rais ajaye.

Amina!

ndugu ww ni msaliti na siyo mzalendo Wa chama.
 
Sasa kama ndio hivi, kwa nini taifa liingie hasara ya kuendesha uchaguzi? Si watangaze tu kuwa Tanzania inacho chama kimoja tawala cha ccm na kitatawala milele badala ya kupotezea watu muda, kupoteza mipesa mingi ikiwa ni pamoja na kuwapigia fiesta kwa watu ambao wanaokula mlo mmoja kwa siku mbili - hizo hela wangewasiadia hao wenye njaa au hata kulipia ujenzi wa maabara za kikwete au kununulia madawati ya watoto wa maskini wakasomea kwenya madawati!!!!
 
We mpuuzi nn amani gani hii? mm nasubiri tamko kutoka kwa viongozi wangu wa ukawa nitekeleze.
Usikinukishe Mkuu tuwe wapole tu. Kumbuka kwa Dr. Slaa mpaka wabunge walimsusia lakini mwisho wa siku tukamtambua. Sasa sioni sababu ya kumpinga Magufuli.
 
Sasa kama ndio hivi, kwa nini taifa liingie hasara ya kuendesha uchaguzi? Si watangaze tu kuwa Tanzania inacho chama kimoja tawala cha ccm na kitatawala milele badala ya kupotezea watu muda, kupoteza mipesa mingi ikiwa ni pamoja na kuwapigia fiesta kwa watu ambao wanaokula mlo mmoja kwa siku mbili - hizo hela wangewasiadia hao wenye njaa au hata kulipia ujenzi wa maabara za kikwete au kununulia madawati ya watoto wa maskini wakasomea kwenya madawati!!!!
Wakitangaza hivyo misaada wataipata wapi. Wanafanya hivyo kama kiini macho. Ila mfumo wa chama kimoja haujafutwa.
 
kesho ni siku ya kumpata mshindi wa na kutangazwa kwa rais wa awamu ya tano. Kwa matokeo yanayoendelea kutangazwa yameshatoa mwanga ni nani atashinda.

Ukweli ni kwamba john pombe magufuli ndiye mshindi na rais mteule.

Nikiwa mwana chadema napenda kushauri tukubali matokeo kama yatakavyo tangazwa. Hata tusipokubali matokeo ccm watalazimisha iwe isiwe. Hivyo naomba busara tu itumike tukubali na tumuunge mkono rais mteule bila kutokea kwa vurugu.

Mungu ibariki tanzania mungu mbariki rais ajaye.

Amina!

mkuu hatuhitaji amani ya woga kwa sasa full stop.
 
Yaani hapa full shangwe kwa fisadi lowasa kukatwa. Yaani ASANTE SANA MUNGU! Tulisema shetani ukawa na kundi lake la mbwa mwitu wanaonyemela rasilimali za taifa letu hawawezi kushindana na nguvu ya MUNGU!

huyu mzee ni wa kukatwa katwa tu..bado kukatwa kichwa chake tu sasa

Msimtumikie shetani kwa kiwango hicho ....tumieni hekima hata kama mna chuki binafs na mtu, kikinuka wakumbuke ndugu jamaa na hata wazazi kule kijijini na popote pale ambao hawana uwezo wa kupambana
Kumbukeni mambo yakiharibika tutaumia sote wagonjwa na wajawazito hospitalini wanafunzi na wanachuo kwenye taasisi za elimu wafungwa na mahabusu kila mmoja kila mahali kasoro wateule wachache
Tuwe na tafakuri pana kipindi hiki cha ubakwaji mkubwa wa demokrasia na usaliti mkubwa wa mabadiliko... Mnaweza kushabikia na kushangilia kwakuwa pengine nyie ni sehemu ya haya yanayoendelea lakini kumbukeni kuna The Hague na kuna hukumu siku ya kiama lakini la kuogopa zaidi kuna NGUVU YA UMMA
 
Ahsante sana, Amani ndio kila kitu.

Na itadumu tu, hakuna atakaeweza au kuthubutu kukiuka miiko na kusababisha ghasia

Mbona kila mtu anasema anaimba AMANI je mbona sisikia mkidai HAKI itendeke bila haki amani huwa ya mashaka VIONGOZI tendeni HAKI kwa kila raia vinginevyo mtarusha sana mabomu na mabomu yenyewae sijui ni ya msaada toka kwa wajomba au mmenunua********
 
Kamwe sitaipend ccm katika maisha yangu yote. Tulizembea kukazania kudai tume huru ya uchaguzi.

sawa ndugu yangu inatakiwa kuwa wazalendo.nikiona tu MTU amevaa kijani natamani kutapika.
 
Bado tuna kazi sana ya kuwaelimisha watanzania. Ikiwa wanawachagua Chenge, Tibaijuka na Ngereja!!? Hakika tuna watanzania ambao bado wako gizani wanahitaji kufunguliwa macho.
 
Mbona kila mtu anasema anaimba AMANI je mbona sisikia mkidai HAKI itendeke bila haki amani huwa ya mashaka VIONGOZI tendeni HAKI kwa kila raia vinginevyo mtarusha sana mabomu na mabomu yenyewae sijui ni ya msaada toka kwa wajomba au mmenunua********

Mkuu kwa sasa sisi hatutaki Aman ya woga kaka. Lazima heshima ije kwa njia yeyote
 
Mleta mada ni kundi la wajinga na majuha.
Amani haiji bila haki.
 
Mmm,hii nayo mpya.Wote tunatakiwa kutekeleza wajibu wetu.Hakuna haki bila wajibu.
Kesho ni siku ya kumpata mshindi wa na kutangazwa kwa Rais wa awamu ya tano. Kwa matokeo yanayoendelea kutangazwa yameshatoa mwanga ni nani atashinda.

Ukweli ni kwamba John Pombe Magufuli ndiye mshindi na Rais mteule.

Nikiwa mwana Chadema napenda kushauri tukubali matokeo kama yatakavyo tangazwa. Hata tusipokubali matokeo CCM watalazimisha iwe isiwe. Hivyo naomba busara tu itumike tukubali na tumuunge mkono Rais mteule bila kutokea kwa vurugu.

Mungu ibariki Tanzania Mungu Mbariki Rais ajaye.

Amina!
 
Bora tusiwe na Uchaguzi.CCM inakitengo cha kukusanya taarifa za uchaguzi.Kitengo cha UKAWA vijana 191 wamelekwa mahabusu.kwangu mimi ni dhahiru CCM imeshindwa uchaguzi mkuu.inatumia dola kubaki madarakani.huwezi kuita hali tuliyopo nj amani.Hii ni Utuluvu kwa shuruti
 
Mbona kila mtu anasema anaimba AMANI je mbona sisikia mkidai HAKI itendeke bila haki amani huwa ya mashaka VIONGOZI tendeni HAKI kwa kila raia vinginevyo mtarusha sana mabomu na mabomu yenyewae sijui ni ya msaada toka kwa wajomba au mmenunua********
Hapa imezungumziwa Amani, na mimi nikajidili Amani.

Sasa tatizo ni nini bandugu!

Tunata toana macho bure.

Usimchukie Magufuli wala mie HARUFU ichukie Siasa
 
Back
Top Bottom