Ellyson
JF-Expert Member
- Nov 13, 2010
- 1,714
- 405
Kesho ni siku ya kumpata mshindi wa na kutangazwa kwa Rais wa awamu ya tano. Kwa matokeo yanayoendelea kutangazwa yameshatoa mwanga ni nani atashinda.
Ukweli ni kwamba John Pombe Magufuli ndiye mshindi na Rais mteule.
Nikiwa mwana Chadema napenda kushauri tukubali matokeo kama yatakavyo tangazwa. Hata tusipokubali matokeo CCM watalazimisha iwe isiwe. Hivyo naomba busara tu itumike tukubali na tumuunge mkono Rais mteule bila kutokea kwa vurugu.
Mungu ibariki Tanzania Mungu Mbariki Rais ajaye.
Amina!