TUCTA wapinga UKUTA

TUCTA wapinga UKUTA

chinchilla coat

JF-Expert Member
Joined
May 16, 2016
Posts
5,107
Reaction score
10,979
Shirikisho la vyama vya wafanyakazi nchini limesema haliungi mkono UKUTA, katibu mkuu wa TUCTA Nikolaus Mgaya amesema wao hawajihusisha na siasa kwa ni kazi yao ni kutetea maslahi ya wafanyakazi.

Amesema kuna wanachama wa upinzani na CCM waliopo TUCTA lakini wao hawataunga mkono UKUTA
Akizungumzia suala la kuhamia Dodoma amesema yawezekana hakuna majengo ya kutosha kweli lakini watabanana huko huko ili wapate akili za kujenga

Mgaya alishapigwa ganzi ya ubongo tangu kipindi kile cha mbayuwayu. kwa sasa hajitambui ila tu wafanyakazi wanakosa mfumo wa kuweza kumwondoa kwenye nafasi hiyo. Hii ni pamoja na Gratian Mukoba wa CWT. hawa wote ni makada wa ccm na sio watetezi wa wafanyakazi tena
 
Lakini kaachia kama mleta mada alivyoleta hapojuu anamaanisha wafanyakazi wananchama wa chadema wanaweza kujiunga na ukuta kama wao lakini sio federation yaani sekretariti imejito hakuna aliyemkaribisha lakini anajulikana alishafyatishwa huyo
 
Shirikisho la vyama vya wafanyakazi nchini limesema haliungi mkono UKUTA, katibu mkuu wa TUCTA Nikolaus Mgaya amesema wao hawajihusisha na siasa kwa ni kazi yao ni kutetea maslahi ya wafanyakazi.

Amesema kuna wanachama wa upinzani na CCM waliopo TUCTA lakini wao hawataunga mkono UKUTA
Akizungumzia suala la kuhamia Dodoma amesema yawezekana hakuna majengo ya kutosha kweli lakini watabanana huko huko ili wapate akili za kujenga

Haoneshi kupinga UKUTA. Anaonekana tu kuonesha kwamba wao hawafungamani.
 
Kwani nani amemwambia TUCTA inahitajika kwenye UKUTA?

Anasema wao hawajihusishi na siasa, sasa habari za UKUTA zinamhusu nini?

Akae mbali na unafiki wake. Mambo ya wafanyakazi yamemshinda, ataweza hayo mengine? hadi leo wafanyakazi kibao 'wameachishwa kazi' kwa kauli ya Rais hatujamsikia akisema chochote.
 
Waache tu wasiunge mkono, udicteta ukiwafikia na wao tusisikie wakilia lia
 
Wapo baadhi ya watanzania wanapaswa kuingia kwenye kitabu cha maajabu ya dunia..

Mtu awezaje kujitetea katika jambo ambalo hajawahi kushtakiwa kwalo??

Yani mtu unawasha gari unatoka nyumbani..unakimbilia kisutu na unapanda kizimbani unaanza kujitetea "sijafanya hiki,sijafanya kile"..

Na hii ndio Tanzania.
 
Shirikisho la vyama vya wafanyakazi nchini limesema haliungi mkono UKUTA, katibu mkuu wa TUCTA Nikolaus Mgaya amesema wao hawajihusisha na siasa kwa ni kazi yao ni kutetea maslahi ya wafanyakazi.

Amesema kuna wanachama wa upinzani na CCM waliopo TUCTA lakini wao hawataunga mkono UKUTA
Akizungumzia suala la kuhamia Dodoma amesema yawezekana hakuna majengo ya kutosha kweli lakini watabanana huko huko ili wapate akili za kujenga

of course, TUCTA kama TUCTA hapaswi kuunga mkono lakini mwanachama mmoja mmoja wapo wanaounga mkono.

hata miskiti na makanisa havipaswi kuunga mkono UKUTA. waumini mmoja mmoja wanafanya hivyo.

hata CCM haiungi mkono UKUTA, lakini kuna wana CCM mmoja mmoja wanaojitambua wanaunga mkono. wapo wengi tu hawa!

mimi familia yangu haiungi mkono UKUTA kama familia, lakini wapo wengi miongoni mwa wanafamilia kila mmoja kivyake anaunga mkono.

hali ndiyo ilivyo kwa sasa...
 
Tucta walipaswa kufutwa kabisa,wafanyakazi wanatumbuliwa kinyume na Sheria za kazi wamekaa kimya.Inakuja ishu ya kisiasa isiyo na Maslahi makubwa kwa wafanyakazi ndio wanatoa tamko.
Waache woga na kujipendekeza.Watimize majukumu yao ya kutetea wafanyakazi.
 
Wapo baadhi ya watanzania wanapaswa kuingia kwenye kitabu cha maajabu ya dunia..

Mtu awezaje kujitetea katika jambo ambalo hajawahi kushtakiwa kwalo??

Yani mtu unawasha gari unatoka nyumbani..unakimbilia kisutu na unapanda kizimbani unaanza kujitetea "sijafanya hiki,sijafanya kile"..

Na hii ndio Tanzania.
TBC iliwahoji mkuu
 
Je yeye hizo haki za wafanyakazi anazisimamia.? .. Huyu jamaa ni mpuuzi tena wa kupuuzwa...
 
Back
Top Bottom