Igauri Kwetu
JF-Expert Member
- Aug 15, 2013
- 321
- 72
Hiyo Gracia Mgoba mwenyewe ni kibaraka mnafiki mkubwa
TUCTA na Walimu ni moja kati ya taasisi weak sana hapa nchini. Hawawezi kumobilize mgomo na wakafanikiwa.
Huyu Mukoba ni mpuuzi sn kiukweli....amekuwa mtu wa kudandiadandia mambo pasipo jua anachotakiwa kusimamia ni nini. Mgomo wa waalimu umeishia wapi?? Mahakama ilitoa agizo serikali na Chama cha walimu wakae meza moja kutafuta suluhu, ila hadi leo toka 2012 kuna kiza kinene. Leo anaonekana yuko TUCTA anachokonoa mengine...huyu ni kibaraka wa CCM na serikal ya kifisadi. Aisee najuta kuwa kuwa mtanzania kwani kila kukicha ni mateso tu nchi hii. UKAWA unganisheni nguvu hasa mumuondoe shetani CCM anatumaliza jamani.