Shalom wote muitakiao nchi hii amani,nakumbuka mwisho wa mwezi wa 8 niliuliza juu ya uchaguzi wa shirikisho la vyama vyama vya wafanyakazi Tanzania lenye wanachama 500,000 na vyama vyenye uanachama wa kudumu 24.
Katika hali isiyokua ya kawaida zoezi la uchukuaji na urejeshwaji wa fomu liligubikwa na usili mkubwa sana na baada ya hapo tarehe ya uchaguzi kusogezwa mbele,
Sina wasiwasi na hilo ila je uchaguzi huo ni kweli naungana nao kua ni sawa ila je umefuata njia sahihi kuna wagombea 267 na mpaka sasa hakuna mchujo Mgaya anasema kua wote watatakiwa siku ya uchaguzi yaani kesho Arusha.
Ombi langu kulingana na taratibu na katiba hiyo na hali halisi ya maisha kwa sasa
Anadai kua chama kitaendelea na majadiliano na serikali ili kupunguza kodi katika mishahara ya wafanyakazi na kuboresha masalahi je hayo ni sahihi katika kipindi hiki
Mbali na hilo yameundwa mabaraza ya vijana na akina mama.
CWT yenye wajumbe na wanachama wao sasa wanagawa fomu za kuandaa mgomo kwa walimu nchi nzima kuishinikiza serikali kulipa madeni ya walimu yote
Namkumbuka Mkoba aliwahi kufika hatua hiyo ila mwisho wa siku aliitwa na wenye nchi na kusahau kila tatizo sasa je ataweza mda huu
Naomba kuwasilisha
Mungu tubariki wafanyakazi
Wanaharakati tutaendelea
Pamoja daima