TUCTA kufanya uchaguzi kwa kujificha Arusha kesho huku mgomo wa walimu nchi nzima njiani | JamiiForums | The Home of Great Thinkers

Dismiss Notice
You are browsing this site as a guest. It takes 2 minutes to CREATE AN ACCOUNT and less than 1 minute to LOGIN

TUCTA kufanya uchaguzi kwa kujificha Arusha kesho huku mgomo wa walimu nchi nzima njiani

Discussion in 'Habari na Hoja mchanganyiko' started by nzom, Sep 13, 2011.

 1. n

  nzom Senior Member

  #1
  Sep 13, 2011
  Joined: Nov 6, 2010
  Messages: 168
  Likes Received: 2
  Trophy Points: 35
  Shalom wote muitakiao nchi hii amani,nakumbuka mwisho wa mwezi wa 8 niliuliza juu ya uchaguzi wa shirikisho la vyama vyama vya wafanyakazi Tanzania lenye wanachama 500,000 na vyama vyenye uanachama wa kudumu 24.
  Katika hali isiyokua ya kawaida zoezi la uchukuaji na urejeshwaji wa fomu liligubikwa na usili mkubwa sana na baada ya hapo tarehe ya uchaguzi kusogezwa mbele,
  Sina wasiwasi na hilo ila je uchaguzi huo ni kweli naungana nao kua ni sawa ila je umefuata njia sahihi kuna wagombea 267 na mpaka sasa hakuna mchujo Mgaya anasema kua wote watatakiwa siku ya uchaguzi yaani kesho Arusha.
  Ombi langu kulingana na taratibu na katiba hiyo na hali halisi ya maisha kwa sasa
  Anadai kua chama kitaendelea na majadiliano na serikali ili kupunguza kodi katika mishahara ya wafanyakazi na kuboresha masalahi je hayo ni sahihi katika kipindi hiki
  Mbali na hilo yameundwa mabaraza ya vijana na akina mama.
  CWT yenye wajumbe na wanachama wao sasa wanagawa fomu za kuandaa mgomo kwa walimu nchi nzima kuishinikiza serikali kulipa madeni ya walimu yote
  Namkumbuka Mkoba aliwahi kufika hatua hiyo ila mwisho wa siku aliitwa na wenye nchi na kusahau kila tatizo sasa je ataweza mda huu
  Naomba kuwasilisha
  Mungu tubariki wafanyakazi
  Wanaharakati tutaendelea
  Pamoja daima
   
 2. SILENT ACtOR

  SILENT ACtOR JF-Expert Member

  #2
  Sep 13, 2011
  Joined: Apr 9, 2011
  Messages: 618
  Likes Received: 53
  Trophy Points: 45
  &lt;br /&gt;<br />
  &lt;br /&gt;<br />
  TUCTA-UVCCM-NEC-UWT-NEC: watoto wa baba mmoja-wafanyakazi tuliopigika hatuwezi kuwaamini!
   
 3. M

  MZAWATA JF-Expert Member

  #3
  Sep 13, 2011
  Joined: Feb 10, 2011
  Messages: 555
  Likes Received: 2
  Trophy Points: 35
  Walimu komaeni jaman ili iwe fundisho kwa serikali,walimu kama wanafikia mahal wanagoma ni dhahir kwamba wamechoka. Walimu wa shule za msing mjitahidi muungane na msiwe waoga ktk kudai hak zenu,wale wa sekondar sina wasiwas nao sana. Walimu mnaweza kuleta mabadiliko,walimu oyeee!
   
 4. mashikolomageni

  mashikolomageni JF-Expert Member

  #4
  Sep 13, 2011
  Joined: Jan 5, 2010
  Messages: 1,565
  Likes Received: 5
  Trophy Points: 135
  Safari hii hata mkwele asimame na majeshi yaje yote bila kulipa madeni wafanyakazi TUNAGOMA hatuogopi vitisho kwani tumeona Misri, Tunisia na Libya lazima walipe madeni yote ya wafanyakazi
   
 5. mzamifu

  mzamifu JF-Expert Member

  #5
  Sep 13, 2011
  Joined: Mar 10, 2010
  Messages: 3,496
  Likes Received: 853
  Trophy Points: 280
  Hii bomba sana tena imesimama wima walimu wakomae maana madeni hayaishi. Walimu wanapanda madaraja malimbikizo hawapewi kwa miaka. Sheria itungwe ili mathalani kama mwalimu anaidai serikali shs molioni mwaka huu ikipita mwaka alipwe riba. Maana thamani ya hela itakuwa imepungua
   
Loading...