Tuchukue ushauri/mawazo yapi katika mapenzi/mahusiano?

Tuchukue ushauri/mawazo yapi katika mapenzi/mahusiano?

Ryzen

JF-Expert Member
Joined
Dec 6, 2012
Posts
7,312
Reaction score
8,754
Habari za usiku Ndugu zangu katika kristo!

Tumeona Nyuzi Nyingi zenye kuponda labda uhusiano wa kimapenzi kwamba is just like kudanganyana na haina haja ya ya ku keep serious kwa kisingizio cha kuogopa kutendwa!

Pia tumeona thread kadhaa japo ni chache ambazo zipo positive towards love affairs yaan kwamba mapenzi mazuri bado yanaexist!

Huenda kuna Mwanamke/Mwanaume Anampenda mwenzie sana tu....sasa akikutana discouraging threads kama hizo anakuwa anavunjika moyo!

Je wewe kama MwanaJF una ushauri Katika Hili?!

My take: Fanya kile moyo wako unapenda,Dont expect anything from anyone kama unahitaji furaha na Pia za Kuambiwa Changanya na Zako!
 
Back
Top Bottom