LAMBOFGOD
JF-Expert Member
- Aug 12, 2016
- 1,561
- 1,320
maana halisi ya neno la Mungu ni kwamba "wanaumeeee tumieni akili/maarifa na uelewa wa kila namna n.k kuishi na viumbe dhaifu"Neno la Mungu linasema "ishini nao kwa akili"
maana halisi ya neno la Mungu ni kwamba "wanaumeeee tumieni akili/maarifa na uelewa wa kila namna n.k kuishi na viumbe dhaifu"Neno la Mungu linasema "ishini nao kwa akili"
mkuu mbona unasoma biblia iliyojaa mafumbo na mifano na unaielewa inakuaje usielewe hili pia, mleta mada kafupisha story vinginevyo angeaandika yule jamaa wa londoni alimzungukia dem siku ngapi hadi akakubali, yawezekana kabisa ilichuwa kamda kidogo ndo gono likajimanifestHayaaminiki hayoo babaa..!! Sema lilikuwa gonjwa hatarii sanaa yani siku mojaa tuu usahaaa duu...
Kwel kabisaNeno la Mungu linasema "ishini nao kwa akili"
Ni Mungu huyo huyo aliye waumba na kuwapa hizo akili za simbirisi. Tafuteni wa kumpa lawama sasaNeno la Mungu lingine linasema..." wana akili za simbirisi" ila Mungu hakuona vema kuliweka kwenye bibulia hili