Zack Abdul
JF-Expert Member
- Mar 9, 2026
- 961
- 808
Yani utasikia mara watu wamepigwa radi hatari sana... hasaHizi mvua zanikosesha amani
Pisi inahusianaje tena hapa...Hapo ni kuwa na pisi ndani tu
Duuh mi nawaza msongamano na usumbugu utakaojitikeza hasa kwa wakazi wa hapa Dar es salaam.