Sha kc
Safari hiyo
Hekima hiyo
Amani hiyo
Kokoto hizo
Chakula hicho
Nisaidie na mimi kucheza naitwa Queen asa siwez nifanyeje
Wengine majina yetu ni nadra sana hapa duniani tunayo wachache so nikiweka tu wanonifahamu watafurahije!
Aa wapi Hujanipata bado
Mmmh namwamini mume wangu tu kiwatengu
Bujibuji cheza mwenyewe mimi nitachaguaje maembe? labda miss neddy achague
nilikuwa wapi sijaiona hii kitu yangu ni
Lady ni: lulu hiyo, Amani hiyo, Damu ya Yesu hiyo, na Yesu huyo
nimekosea hapo rafiki yangu
me mchezo umenishinda ujue