TUCHEZE GAME INAITWA....Last man standing!!

Dr.adams faida

JF-Expert Member
Mar 11, 2013
1,887
3,350
MASHARTI ……...!!
1. Hakuna matusi!
2. Unaandika sentens kwa kuanza na neno la mwisho la mchangiaji aliyepita...mfano "Mama anapika" kama ww ndiye unafuata unaanza na neno "anapika".....Anapika chakula cha wafungwa......!! mwingine ataanza na neno "wafungwa".......wafungwa wengi wana ukimwi........!! atakayekuwa wa mwisho na kudumu kwa wiki tatu ndiye mshindi......!!

.....NICE GAME....!
 

Similar Discussions

Back
Top Bottom