nishachemka😅mabano hayapo😅
138.
Tena ukute wenzako na fomular zao zinafanana kabisa kasoro wewe tu, hizi discussion nilikua naodoka kimya kimya.38
Huu uzi unanikumbusha enzi zile tunatoka kwenye mtihani wa hisabati alaf tunaanza kuudiscuss unakuta mpo watano alaf peke yako umeandike jibu la tofauti lazima upagawe.
😂Watu wengi hesabu wanajua sema changamoto ndogo ndogo kama hizoNdivyo tunavyofeli mitihani! Sijaona alama ya kuzidisha😂
Kwenye upande wa ndizi tusihesabu ndizi ziko ngapi tuchukue tu bando kama bando la ndizi. Au nimekosea wakuu?Kwa hisani ya chatGPT.
Mimi hesabu nilipata F.
Nipe jibu la hiyo picha
ChatGPT said:
Tutaangalia kila mstari na kutatua hatua kwa hatua:
Mstari wa 1:
Paka watatu ni sawa na 60.
Hivyo, kila paka = 60 ÷ 3 = 20.
Mstari wa 2:
Paka + mfupa 2 + mfupa 2 = 26.
Tunajua paka = 20, hivyo:
20 + (mfupa 2) + (mfupa 2) = 26
Mfupa 2 = 26 - 20 = 6
Hivyo mfupa 1 = 6 ÷ 2 = 3.
Mstari wa 3:
Mfupa 1 + ndizi 4 = 15.
Tunajua mfupa = 3, hivyo:
3 + ndizi 4 = 15
Ndizi 4 = 15 - 3 = 12
Hivyo ndizi 1 = 12 ÷ 4 = 3.
Mstari wa 4:
Paka + mfupa × ndizi = ?
Kumbuka sheria za hisabati: mfumo wa Kwanza unazingatia kuzidisha kabla ya kujumlisha.
Paka = 20, mfupa = 3, ndizi = 3.
Hivyo:
20 + (3 × 3) = 20 + 9 = 29.
Jibu ni 29.
NECTA wakimpa D ya hesabu atalalamika na kukata rufaa asahishwe upyaMpaji Mungu mwingine huyu hapa kashuka notes kabisa
😁😁mabano hayapo😅
138.
60 ÷ 3 = 2020 + 2(Mifupa) = 262(Mifupa) = 26 - 202(Mifupa) = 6Mifupa = 6 ÷ 2 = 33 + 2(Ndizi) = 152(Ndizi) = 15 - 32(Ndizi) = 12Ndizi = 12 ÷ 2 = 620 + 3 × 620 + 18= 38Nahisi amekosaKwa hisani ya chatGPT.
Mimi hesabu nilipata F.
Nipe jibu la hiyo picha
ChatGPT said:
Tutaangalia kila mstari na kutatua hatua kwa hatua:
Mstari wa 1:
Paka watatu ni sawa na 60.
Hivyo, kila paka = 60 ÷ 3 = 20.
Mstari wa 2:
Paka + mfupa 2 + mfupa 2 = 26.
Tunajua paka = 20, hivyo:
20 + (mfupa 2) + (mfupa 2) = 26
Mfupa 2 = 26 - 20 = 6
Hivyo mfupa 1 = 6 ÷ 2 = 3.
Mstari wa 3:
Mfupa 1 + ndizi 4 = 15.
Tunajua mfupa = 3, hivyo:
3 + ndizi 4 = 15
Ndizi 4 = 15 - 3 = 12
Hivyo ndizi 1 = 12 ÷ 4 = 3.
Mstari wa 4:
Paka + mfupa × ndizi = ?
Kumbuka sheria za hisabati: mfumo wa Kwanza unazingatia kuzidisha kabla ya kujumlisha.
Paka = 20, mfupa = 3, ndizi = 3.
Hivyo:
20 + (3 × 3) = 20 + 9 = 29.
Jibu ni 29.
Mi nazijua hata hesabu basi.Nahisi amekosa
Tazama idadi ya ndizi kwenye kila fungu