Mimi sio dogo!
Kesho tu natangaza nia kama mgombea binafsi.
Manake inaonesha watia nia wote wanatoka kwenye vyama vya siasa!
Mungu aliumba strong ribs kama isurance kwa wanaocheka sana!
Tyson ilkuwa enzi zilee. Siku hizi hana lolote. Mara aende wrestling wwe!
Tyson = Wassira aka Wa-hasira Steven..yule mwenye sura ngumu na pua yenye ujazo wa kilo 3!!!!