Tucheke sote

Malizia stori basi!! We ulijibu nini baada ya kuuliza swali la mwisho?
 
Tehe tehe tehe tehe tehe tehe tehe,sa ulijibu nini ?
 
Dogo siku nyingine kabla hujaleta kitu safi kama hii tu-direct wapi wanaweka insurance ya mbavu, ok?
 
Dogo siku nyingine kabla hujaleta kitu safi kama hii tu-direct wapi wanaweka insurance ya mbavu, ok?

Mimi sio dogo!
Kesho tu natangaza nia kama mgombea binafsi.
Manake inaonesha watia nia wote wanatoka kwenye vyama vya siasa!
Mungu aliumba strong ribs kama isurance kwa wanaocheka sana!😅😅😅
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…