Tupia maneno mawili ya kiingereza ambayo yanatamkika sawa japo maana na tarakimu zake ni tofauti.
1.Seat,sit
2.No,know
3.Leave,live
4.Eat,it
5.Calm,come
Endelezeni hapo wakuu.
maneno yote haya hayatamkwi sawa.
Na haya je
piece, peace
plain,plane
too, to
weak week,
seal, steel
poor,pour
Tupia maneno mawili ya kiingereza ambayo karibu yanatamkika sawa japo maana na tarakimu zake ni tofauti.
1.Seat,sit
2.No,know
3.Leave,live
4.Eat,it
5.Calm,come
Endelezeni hapo wakuu.