Simple sana kuelewa hii; Shida ni urefu wa huyo twiga, risasi ilipigwa juu kuashiria kuanza kukimbia lakini Kwa bahati mbaya ikamkuta aliyeko juu(twiga mwenye shingo ndefu) na papo hapo twiga akadondoka na kukata moto......Bila shaka Kuna kitu Cha kujifunza kupitia picha hiiAliyeielewa hiiView attachment 2793851
Son-in-law
Kudos,Simple sana kuelewa hii; Shida ni urefu wa huyo twiga, risasi ilipigwa juu kuashiria kuanza kukimbia lakini Kwa bahati mbaya ikamkuta aliyeko juu(twiga mwenye shingo ndefu) na papo hapo twiga akadondoka na kukata moto......Bila shaka Kuna kitu Cha kujifunza kupitia picha hii