mweusi hadi ukibeba mtoto anasinzia akidhani eti ni giza limeingia
Macho kama golori.....
endelea
Miguu kama trekta....twende
kichwa kama kupe
twende
bibi yako alikua anaenda kuuza vitumbua akasimamishwa na trafki eti amejaza sana...twende
kwenu mpo wengi hadi babayenu anatumia maik
Miguu kama trekta....twende
kidevu ka kona ya godoro
shingo nyembamba ka cable ya kuchajia simu
twende twende... ndo maana we ni muongo hadi siku ukikosa wa kumzuga unajizuga mwenyewe