Mimi siku ya kupiga kura hata sikutoka nnje kabisa nililala ndani kwangu. kisa cha kwenda kupanga foleni kumpigia kura mtu aende kula nchi.
Kweli unayosema ndugu yangu kafakunoga....Rais wetu kazi yake kuuza sura tu nchi za watu.... Tanzania inanuka umasikini... huwezi kuamini nikukuambia hata chanjo za watoto mahospitalini hakuna..... nashangaa pesa zote za walipa kodi sijui zinaenda wapi hadi huduma muhimu kama chanjo za watoto zimekwisha karibia mwezi wa sita sasa.. sijui nchi yetu inakwenda wapi.
yule joshua ni mhuni tu achana nae asee.TB Joshua katabirije ati?
Yoyote lakini asiwe Ngeleja.Mimi nina wazo Watanzania wenzangu sijui nyinyi mnaonaje...., kutokana na Rais wetu kuonekana anapenda zaidi kazi ya waziri wa mambo ya Nnje, au ameona Mh. Membe hawezi kazi yake na kuamua kumsaidia MIMI NAPENDEKEZA BORA TUAMUE KUCHAGUA RAIS MWINGINE ambaye ataweza kukaa IKULU na kufanya kazi zake kama Rais na si kama waziri wa mambo ya nje. Safari za Nnje zisizokwisha kila siku ulaya.Nadhani sasa hivi keshamaliza kuzulu nchi zote barani Ulaya. WATANZANIA TUMECHOKA KUONA RAIS ANAKUWA WAZIRI WA MAMBO YA NNJE NA KUSAHAU KAZI YAKE YA URAIS.
Lowassa na rostam ndiye katuangamiza kwa kumkampenia mtalii. Nenda Tanesco unalipia service line mpya maisha unaambiwa mita hamna. Ukiuliza lini zitakuwepo unaelezwa hatujui. Nchi imekufa bado alshabab waimalizie tuu sasa
Mimi napendekeza daimondi awe raisi wa wsafi
umejitahidi kuandika lakini kwa bahati mbaya huelewekiwewe ndiyo walewale waliokunywa uji wa mgonjwa ,nenda kalale achana na hizo fikra finyu