Domo Kaya
JF-Expert Member
- May 29, 2007
- 531
- 60
Mimi nina wazo Watanzania wenzangu sijui nyinyi mnaonaje...., kutokana na Rais wetu kuonekana anapenda zaidi kazi ya waziri wa mambo ya Nnje, au ameona Mh. Membe hawezi kazi yake na kuamua kumsaidia MIMI NAPENDEKEZA BORA TUAMUE KUCHAGUA RAIS MWINGINE ambaye ataweza kukaa IKULU na kufanya kazi zake kama Rais na si kama waziri wa mambo ya nje. Safari za Nnje zisizokwisha kila siku ulaya.Nadhani sasa hivi keshamaliza kuzulu nchi zote barani Ulaya. WATANZANIA TUMECHOKA KUONA RAIS ANAKUWA WAZIRI WA MAMBO YA NNJE NA KUSAHAU KAZI YAKE YA URAIS.