Salma Kikwete waziri wa matandikio yote ya vyumbani (yaani kukagua ka shuka zote kitandani ni safi au chafu). Ridhiwani Kikwete waziri wa kutunga mizengwe na kuchakachua uchaguzi. Miraji Kikwete waziri wa mawasiliano na kuvuta bhangi, cocaine & all illicit drugs. January Makamba aka Ernesto Sheka waziri wa majungu na utumbo. Rashid Shamte waziri wa kutuma sms za kipuuzi
wala mimi sihitaji masuala ya baraza la mawaziri.. wakati mtu kaiba.. anatakiwa aondoke!!!
hata hivyo akiapishwa na kuunda baraza la mawaziri lisilo imara... utasikia watanzania wanalalamika wakati ni hao hao walikuwa wanavaa nguo za kijani na manjano!!! shame to them!!
Samweli sita hatakosekana,ili kupunguza mtizamo kwamba wamemtupilia mbali nafasi ya uspika kwa sababu ya msimamo wake dhidi ya ufisadi alipokua spika,ila watampa wizara isiyokua maarufu