Tubadilike

Comi

JF-Expert Member
Oct 2, 2011
3,328
955
Kwa muda sasa hadhi ya jf great thinkers inazidi kushuka. Lengo la mtandao huu lilikuwa kuelimisha watu kwa kutumia upeo wa juu waliokuwa nao.

Mada zinazotolewa kwa sasa zimekuwa hazifikii malengo kutokana na masihara,utani na hata kejeli kwa watoa mada.

Wanajf tubadilike kwa kuchangia mada iapasavyo kwani kejeli,utani,dharau,matusi kupindisha hoja hapaleti ufanisi zaidi ya kujishusha hadi yako
 

Similar Discussions

Back
Top Bottom