Tubadili muelekeo

Tubadili muelekeo

issaaman

JF-Expert Member
Joined
Dec 8, 2017
Posts
1,145
Reaction score
1,381
Habari zenu
Naelekea kwenye mada husika
Karibu mwezi sasa naona mada hi hizohizo za kuliwa jicho, Kutembea na Wake za watu, Kufinyiwa kwa Ndani, Kumgegeda beki 3, Mke wa Jirani ataka nimgegede nk

Sasa leo ninaomba wana jf tubadili mwelekeo tuachane na masuala ya mapapuchi. Leo tuanze na kitu kipya kabisa. Tutunge mashairi angalau beti moja. Wandugu nimekuja kuwaomba kubadili. Tubadili mwelekeo tuachane yaliyopita. Angalau kubadili mwelekeo kutungia

Nawasilisha hoja hoja yangu binafsi
Haya wadau tubadilikeni tusiangalie kugegeda tu tulete vitu tofauti tofauti ili tuweze kujifunza mengi
Nawasilisha aliye mtunzi na aje

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Tatizo hili ni jukwaa husika la mambo uliyoyataja mkuu huku ni full mapenzi mada za kutunga beti na nn twende entertainment
 
kama umezchoka papuchu amia kwenye nyeto,
nyeto yangu n kutwa mara 3.
 
Habari zenu
Naelekea kwenye mada husika
Karibu mwezi sasa naona mada hi hizohizo za kuliwa jicho, Kutembea na Wake za watu, Kufinyiwa kwa Ndani, Kumgegeda beki 3, Mke wa Jirani ataka nimgegede nk

Sasa leo ninaomba wana jf tubadili mwelekeo tuachane na masuala ya mapapuchi. Leo tuanze na kitu kipya kabisa. Tutunge mashairi angalau beti moja. Wandugu nimekuja kuwaomba kubadili. Tubadili mwelekeo tuachane yaliyopita. Angalau kubadili mwelekeo kutungia

Nawasilisha hoja hoja yangu binafsi
Haya wadau tubadilikeni tusiangalie kugegeda tu tulete vitu tofauti tofauti ili tuweze kujifunza mengi
Nawasilisha aliye mtunzi na aje

Sent using Jamii Forums mobile app
Ili ni jukwa la mapenzi, mahusiano na ndoa mtu ukiona unataka ubadili mwelekeo unajiondoa mwenyewe na kwenda jukwa linginr JF ina majukwa kibao mf biashara,kilimo ,siasa.kama unaona hili jukwa halifai wasiliana na mmiliki wa jf

Huku kubadili mwelekeo ni kutoka kwenye ngono kila uzi ni mgegedo tu
Hamuchoki?

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Habari zenu
Naelekea kwenye mada husika
Karibu mwezi sasa naona mada hi hizohizo za kuliwa jicho, Kutembea na Wake za watu, Kufinyiwa kwa Ndani, Kumgegeda beki 3, Mke wa Jirani ataka nimgegede nk

Sasa leo ninaomba wana jf tubadili mwelekeo tuachane na masuala ya mapapuchi. Leo tuanze na kitu kipya kabisa. Tutunge mashairi angalau beti moja. Wandugu nimekuja kuwaomba kubadili. Tubadili mwelekeo tuachane yaliyopita. Angalau kubadili mwelekeo kutungia

Nawasilisha hoja hoja yangu binafsi
Haya wadau tubadilikeni tusiangalie kugegeda tu tulete vitu tofauti tofauti ili tuweze kujifunza mengi
Nawasilisha aliye mtunzi na aje

Sent using Jamii Forums mobile app
hahah yani nianze kutunga shairi humu aaah wapi...tunga tu ila lihus mahusiano mapenzi urafiki
 
🙂🙂 Ili jukwaa, nalielewa sana...sijui watu wanafikiriaga nini...
 
Back
Top Bottom