Tubadili mitazamo yetu juu ya conspiracy

Mr Leo

JF-Expert Member
May 1, 2021
604
1,262
Utumwa wa fikra juu ya conspiracy!

Habari za wakati huu wanajamvi!

Leo ningependa kwa pamoja tufahamishane na kujuzana wote kwa pamoja juu ya neno hili conspiracy, maana yake, faida yake na hasara zake

Binafsi hasara zake zimekuwa zikinikera sana hadi kunipelekea kuanzisha thread kama hii

Nitawaomba kila mwenye kuona analakusema basi asikae kimya atujaze maarifa, elimu na ufahamu!

Ni nini conspiracy?

Baadhi ya riwaya na watu wanafasiri neno hili kwa kiswahili kama ni "njama"

Hii hapa chini ni maana yake ambayo nimejaribu kuitoa Google

"a secret plan by a group to do something unlawful or harmful"

Binafsi huwa napenda kuifasiri kuwa ni ukweli uliojificha au uliofichwa juu ya jambo flani, na jambo hilo kimsingi hutengenezwa na watu kwa lengo falni ila ukweli huo hufichwa na kupewa picha nyingine kabisa ili isijulikane sababu haswa ya jambo hilo ni nini kwasababu ikijulikana sababu na ukweli wa jambo hilo huwa haiwezekani tena kufikia lengo la jambo hilo na hupoteza mvuto tena kwa watu Na kupoteza au kutopata wafuasi, basi jambo hilo upewa lengo tofauti na kila kitu tofauti ili kuficha uhalisia ili nia yao iweze kutimia kiuhalisa....

Kabla sjaongolea faida ningependa kwanza nianze kuongelea miongoni mwa ugonjwa(negative effect) ambazo naziona zinatokana na jambo hili ambalo limenifanya hadi nije na thread kama hii!

Kilichonipelekea nije na jambo hili ni baada ya kuona watu wengi ninao interact nao katika social media(mostly used social network kwangu ni jamiiforums) na hats baadhi katika physical interaction ni wahanga wa jambo hili....

Yaani katika kila jambo wao wanaamini there is hidden truth behind! Hii pia ni katika ugonjwa mengi katika majmabo wewe unakuwa unaona kuna jambo flani nyuma!

Naam ni kweli conspiracy ipo na kuna majambo yanatokea kuna conspiracy ndani yake ila yapo mengine ambayo ndio dunia tayari ishatufikisha uko labda watu wa imani(dini) ndio wanaweza wakayaelezea kwa waumini wa dini zao kuwa ni mpango wa shetani kufika huko waumini wa dini husika wakayaamini hayo maana kuna ma atheists pia ukiwaambia habari alafu ihusishe mwenyezi mungu au shetani ndani yake tayari watakataa hiyo conspiracy yako na maudhui yako bila kujali ni ya kweli au uongo!

Hivyo, ni kweli kabisa kuna baadhi ya mambo ni kweli planned ila baadhi ya mambo ndio dunia ishatufikisha uko!

Anaweza kuna mtu na conspiracy juu ya Freemason na maisha magumu akajenga hoja zake kuwa pengine Freemason ndio wanasababisha maisha yanakuwa magumu ili baadae akija mpinga kristo(masihu ddajal) iwe rahisi watu kumkubali ili awarahisishie watu ugumu wa maisha, hii ni conspiracy nimeiandaa while I'm writing this paragraph, ila mie mwenyewe mtu akiniletea hii conspiracy ambayo ninaiandika Mimi naweza nisiamini koz naamini kuna mambo mengine ndio dunia tayari automatically ishafika huko!

Au mwingine anaweza sema hizi kampeni za kumuinua mwanamke na kumpaa nafasi ya upendeleo katika nyanja tofauti tofauti lengo ni kumuweka mwanake juu mwamme na mwisho wa siku mwanamke amtawale mwanaume, na hiyo mtu akatoa hoja na dalili kibao kutetea dhana(conspiracy) yake aliyoitengeneza ila wengine tunaweza tukawa kwenye lile kundi linaloamini sababu ni kuwa mwanamke tu kaamua atoke nyumbani basi!

Kiukweli zipo nyingi sana conspiracy ila kimsingi conspiracy zinatokana na logic and algorithms!

Logic zile tulizozisoma darsani kwenye hisabati waliobahatika kuzisoma ndio huzaa conspiracy kimsingi!

Sifa ya logic ni kuwa kitu kiwe kweli(TRUE) Au kiwe cha uongo haswa!(FALSE) kinaweza kuwa logic haijalishi ni kweli au uongo, unachotakiwa make sure it's logically true!

Mfano kukiwa na mawingu, mvua itanyesha(this is logically true) lakini si kweli kila panapokuwa na mawingu mvua inanyesha!

Kila mchawi anajua habari za uchawi, na ukijua habari za uchawi unaweza kuwa mchawi hivyo Mshana Jr ni mchawi! This is logically true but reality ni uongo maana uchawi ni elimu unaweza ukawa unaijua hiyo elimu yao yote ila usiwe umewahi kufanya hivyo vitu abadani na huna mpango abadani!

Kila chama cha siasa pinzani kilitengenezwa na CCM ili kuua upinzani...logically true ila sio kweli no vyama vyote Wenda baadhi tu au hamna kabisa

Tutapima vipi mambo ili tujue the conspiracy is real au ni watu tu wanfanya conspiracy kwa manufaa yao?

Hapa majibu yaweza kuwa watuhitajia kujadili wote kwa pamoja masiku kadhaa ila hatua ya kwanza huyo anaedai kuwa jambo flani ni conspiracy (njama) ana uhusiano gani, uadui gani, upinzani gani na hao ambao anawa accuse juu ya hiyo conspiracy?

Mada naona ni ndefu sana niwakaribishe ambao wana cha kunena kunijazia ambapo hapapo sawa pia niwashauri wanajf wenzangu tusiwe sana victims of believing everything there is hidden truth behind isipokuwa tumejiridgisha na hoja zilizotolewa

Mwisho nawaombe radhi kwa ktumia lugha mbili baadhi ya sentensi zangu hii ni kutokana na kukosa msamiati mzuri wa kiswahili ili tuelewane sawasawa kadhalika mwandiko mbaya!
 
This is logically true but reality ni uongo maana uchawi ni elimu unaweza ukawa unaijua hiyo elimu yao yote ila usiwe umewahi kufanya hivyo vitu abadani na huna mpango abadani!
 
Ni kweli, tena katika vijiwe vya vijana na wazee pia kahawani huko wanaathirika sana na conspiracy theory, wanaweza ongea jambo hadi ukaona huruma.
 
Conspiracy theory sio ukweli, ni nadharia ya njama. Inaweza kuwa kweli au sio kweli, ila mara nyingi conspiracy huwa sio kweli, huwa zinaibuka kwa sababu ya hofu, chuki, prejudices au ukosefu wa taarifa, elimu, maarifa au uwazi wa kutosha juu ya jambo fulani.

Maelezo safi kabisa
 
Shukrani kwa maarifa boss
 
Similar Discussions

Back
Top Bottom