Benzodiazepine
JF-Expert Member
- Oct 18, 2018
- 1,264
- 2,043
Mafuta yapi hayo unayotaka kwenda kuyachimba?Jf ina wanachama wengi, nadhani hatuko pungufu ya laki 5; leo hii kila mwanachama tukiamua kujichangachanga laki laki, hatuwezi kweli kuanzisha mradi wetu wa kuchimba mafuta na kuwauzia nchi zingine tukawa tunagawana faida?
Mafuta wanayozuia IranMafuta yapi hayo unayotakwenda KUYACHIMBA?
(Petroleum jelly) Mafuta ya kupaka ama?
#joking
Hizo ID laki 5 za JF, Je umepigia hesabu wale wanaomiliki ID tatu tatu?Mafuta wanayozuia Iran
badala yakae kule kama maua watupatie sisi tuweke mafuta tuchape kazi hata hayo ma landcruiser ya polisi yanafaa sana kwa hizi barabara zetu mkuu. Lakin mambo ya kuchimba mafuta hilo tukisha fanikisha watamilikisha mwekezeji bro.We si mzalendo
Kwa hizi laki tunachanga? Au kuna namna nyingine ya kupata hela? Nenda ziwa tanganyika yapo kibao... namna ya kuyatoa tu...Tutafanya utafiti kupitia wataalamu wetu wa gesi na mafuta
Ebu tupatie mchanganuo wa namna ya kuyavunaKwa hizi laki tunachanga? Au kuna namna nyingine ya kupata hela? Nenda ziwa tanganyika yapo kibao... namna ya kuyatoa tu...
Tutumie wataalamu wa gamboshi kwani huwa wanapata wapi mafuta ya kurusha ungo?Ebu tupatie mchanganuo wa namna ya kuyavuna
Sasa akili hiyoo ndio nimeona tokea nikufahamu naona maombi ya familia yamesikikaJf ina wanachama wengi, nadhani hatuko pungufu ya laki 5; leo hii kila mwanachama tukiamua kujichangachanga laki laki, hatuwezi kweli kuanzisha mradi wetu wa kuchimba mafuta na kuwauzia nchi zingine tukawa tunagawana faida?
Sasa akili hiyoo ndio nimeona tokea nikufahamu naona maombi ya familia yamesikikaJf ina wanachama wengi, nadhani hatuko pungufu ya laki 5; leo hii kila mwanachama tukiamua kujichangachanga laki laki, hatuwezi kweli kuanzisha mradi wetu wa kuchimba mafuta na kuwauzia nchi zingine tukawa tunagawana faida?
Vyuo vyetu vimezalisha wataalamu wabobezi, wanatakiwa watumie ujuzi wao katika uchimbaji huuTutumie wataalamu wa gamboshi kwani huwa wanapata wapi mafuta ya kurusha ungo?
Ulifichwa wapi?Sasa akili hiyoo ndio nimeona tokea nikufahamu naona maombi ya familia yamesikika
Oil ipo deep underground kuifikia you have to drill na technology ni very expensive, you can spend millions and come up dry, pata potea businessInatakiwa kama kiasi gani?
Hapo tulaze kila member aweke kwenye mfuko Million 50 angalau tukifanya hisabati za haraka haraka tutakua tunakaribia lengoInatakiwa ngapi
Weka mchanganuo wa huo mradiHapo tulaze kila member aweke kwenye mfuko Million 50 angalau tukifanya hisabati za haraka haraka tutakua tunakaribia lengo
Hapo sasa ndio inabidi tuwe na team ya Mainjinia ya kuchimba hio Oil watakaochora mchoro mzima utavyokua na gharama zote kwa ujumla ila mimi nimeona hamna hamna kila member alaze Million 50 kwenye mfuko wetu yaan tukipiga idadi yetu humu itakua ni pesa ndefu kidogo, ebu jaribu ku-calculate uoneWeka mchanganuo wa huo mradi
ha ha ha hiyo mil. 50 inatoka wapi?Hapo sasa ndio inabidi tuwe na team ya Mainjinia ya kuchimba hio Oil watakaochora mchoro mzima utavyokua na gharama zote kwa ujumla ila mimi nimeona hamna hamna kila member alaze Million 50 kwenye mfuko wetu yaan tukipiga idadi yetu humu itakua ni pesa ndefu kidogo, ebu jaribu ku-calculate uone
Kwahiyo huna hakika kama unayo hayo mafuta au huna ila umeshaamua kuchimba??Tutafanya utafiti kupitia wataalamu wetu wa gesi na mafuta