Equation x
JF-Expert Member
- Sep 3, 2017
- 40,029
- 61,927
Wapo ambao hawatumii ID fake ila sio mimiJF tunaaminiana kwa ID fake. Nani atakuwa mweka hazina wa hizo pesa zote?
Mnachimba wapi??Jf ina wanachama wengi, nadhani hatuko pungufu ya laki 5; leo hii kila mwanachama tukiamua kujichangachanga laki laki, hatuwezi kweli kuanzisha mradi wetu wa kuchimba mafuta na kuwauzia nchi zingine tukawa tunagawana faida?
Wazo zuri ila laki haitoshiJf ina wanachama wengi, nadhani hatuko pungufu ya laki 5; leo hii kila mwanachama tukiamua kujichangachanga laki laki, hatuwezi kweli kuanzisha mradi wetu wa kuchimba mafuta na kuwauzia nchi zingine tukawa tunagawana faida?
Wazo zuri ila tatzo ni sehemu ya kuchimba. Yapo wapi hayo mafuta?Jf ina wanachama wengi, nadhani hatuko pungufu ya laki 5; leo hii kila mwanachama tukiamua kujichangachanga laki laki, hatuwezi kweli kuanzisha mradi wetu wa kuchimba mafuta na kuwauzia nchi zingine tukawa tunagawana faida?
Inatakiwa kama kiasi gani?Pesa itakayopatikana haitoshi hata kununua mtambo mmoja wa kisasa wa offshore drilling, sembuse kulipia leseni.!
JF tunaaminiana kwa ID fake. Nani atakuwa mweka hazina wa hizo pesa zote?
Kwa niaba ya members wote, naomba niwe muweka hazina, ahsante 🤝🏾
Hiyo ni kwa watu weusi tu au hadi weupe?
Tutafanya utafiti kupitia wataalamu wetu wa gesi na mafutaMnachimba wapi??
Inatakiwa ngapiWazo zuri ila laki haitoshi
Tutafanya utafiti kupitia wataalamu wetu wa gesi na mafutaWazo zuri ila tatzo ni sehemu ya kuchimba. Yapo wapi hayo mafuta?
Kufanya tu seismic survey, kisima kimoja tu kwa majaribio kinaweza kugharimu B30+Inatakiwa kama kiasi gani?
Kwa nini?yatageuka ya libya hapa
Mafuta inahitaji kiasi ganiMafuta inaweza kuwa ngumu kutokana na startup budget iko juu sana, ila madini mengine inawezekana kutokana geospatial and remote sensing technology, platforms kama Earth AI,KoBold etc ni cheaper and very fast katika mineral discovery and development, kama uko serious create a company, build a team, anza then uje utuuzie share if it’s worth it
We si mzalendoCount me out of this. Bora hata ungesema tuombe yale mavi x ya ikulu tufanyie daladala/tax maana wao watakua wanatumia kibasi kimoja.
Wasomi wetu watatusaidia kwa bei nafuuKufanya tu seismic survey, kisima kimoja tu kwa majaribio kinaweza kugharimu B30+
Zingatia ni exploration well tu hiyo.