Tuanze kutimua na watumishi wa umma wanaokuwa wamelewa wakiwa kazini

COARTEM

JF-Expert Member
Nov 26, 2013
3,600
3,651
Rungu alilopigwa Charles Kitwanga lishuke na huku kwa watumishi wa umma ambao muda wakazi utawakuta wanafanya kazi wakiwa wamelewa chakari kabisa.
Ukienda mahospitalini ndiyo balaa, pita mashuleni yaani utakuta waalimu wananesanesa tu. Madaktari ndiyo usiseme, wanasingizia ugumu wa kazi kumbe ni tabia ya mtu husikaya ulevi.
 
Kuna kazi nyingine bila pombe na bange huwezi kufanya kama ya mochwari.
Kama hamtaki tulewe tutawaachia hizo kazi mfanye wenyewe kama mtaweza.
 
Hilo tena wewe ngoja walevi wote sasa mguu sawa maana wakuu wa idara hapa ndio pakupatia kick wqtafukuzwaje watu uko sasa
 
Back
Top Bottom