Tuangalie nyumba nzuri za miti

Tuangalie nyumba nzuri za miti

Mkuu Patrickn naomba unitajie pango la mwaka kwa namba 5, 8, 9, na 10....nimezipenda.
 
Last edited by a moderator:
Dah mkuu hizi nadhani hazipangishwi maana hawajasema....ila mtu ukiamua unaweza jenga angalau ifananie ule maisha



Nilitaka niishi humo japo kwa miezi kadhaa nipime hali halisi kabla ya kuhamua kujenga yangu ya kudumu.
 
Waliosema penye miti hakuna wajenzi wako wapi? Naomba kuwaona.
 
mkuu zile ni nyumba kwa ajili ya ndege hakuna mtu anayekaa mule.
Nalog off
Kama ndiyo hivyo, kumbe wanaosema heri kuzaliwa mnyama Ulaya kuliko binadamu afrika hawakukosea.

Kwani kunawatu Bongo hawana hata hicho kiota cha kuweka mbavu.
 

Similar Discussions

Back
Top Bottom