Khaa!
Sasa hiyo nö 1 na 5 mwenyewe anapandaje?
Nisaidieni jaman!
Wanaruka kama spiderman lol....
Mamaaaaaa!
Maspider wa wapi hao?
Bumbwini or Micheweni?
Umeona eee....yani nimezipenda kweliAma kweli ni ghetto za nguvu!
Hata mimi nimekosa jibu maana nyumba zingine hazina ngazi sijui anapandaje bila ngaziKhaa!
Sasa hiyo nö 1 na 5 mwenyewe anapandaje?
Nisaidieni jaman!
Khaa!
Sasa hiyo nö 1 na 5 mwenyewe anapandaje?
Nisaidieni jaman!
mkuu zile ni nyumba kwa ajili ya ndege hakuna mtu anayekaa mule.
Nalog off
Hahahahahahahaaaaa!
Mbavu zangu mie!
...
Kudadadeki hapana cheka peke angu! farkhina lile jibu tayari!!!
kadakokigondile jina lako gumu! Lile jibu tayari!
Kama jina langu gumu unaweza kulikata nusu au labda unashauri vipi?Hahahahahahahaaaaa!
Mbavu zangu mie!
...
Kudadadeki hapana cheka peke angu! farkhina lile jibu tayari!!!
kadakokigondile jina lako gumu! Lile jibu tayari!
Kama jina langu gumu unaweza kulikata nusu au labda unashauri vipi?