Tuambizane Ukweli.................

Tuambizane Ukweli.................

Amavubi

JF-Expert Member
Joined
Dec 9, 2010
Posts
30,154
Reaction score
13,267
azam3.jpg
Mashabiki (Wanaosadikika ni wa Azam) walijitokeza kumlaki kocha Stewart Hall Uwanja wa ndege Dar.............tuambizane ukweli, hawa ni Azam kweli au Tumbo Street/Uhacha (uhakika wa chakula a.k.a food security?)
 
Sidhani kama kuna mashabiki wa Azam bongo ni Simba na Yanga tu.
 
Mtuachie watoto wa Mbagala 'chama' letu Azam! Bakini na vimeo vyenu Yanga na Simba..
 
Ila huyo kocha nae aliyerudi inaonesha ana njaa kichizi, hata six month bado tangu atimuliwe lkn amerudi
 
hilo amekiri waziwazi, miezi minne wachezaji wa Sofa la Paka hawajalipwa mishahara
Ila huyo kocha nae aliyerudi inaonesha ana njaa kichizi, hata six month bado tangu atimuliwe lkn amerudi
 
Hata rangi za pamba zao hazieleweki.........ila naona YANGA watakuwa wengi hapo.....huko ndio kwenye njaa ya ukweli
 
Back
Top Bottom