DeepPond
JF-Expert Member
- Nov 18, 2017
- 43,311
- 109,537
Tuambizane kero katika matumizi ya Simu za mkononi
1. Mtu anakubip afu unampigia MDA huo huo inaita Sana hapokei kabisa, inakera Sana kiukweli
2. Anakupigia Simu, unapokea Kisha Simu inakaa dakika kadhaa unaskia Yuko Anaongea na watu wengine pembeni. Inakera Sana hii.
3. Mtu anakupigia na namba ngeni bila kujitambulisha anakuuliza,
"Kwani naongea na Nani mwenzangu?"
4.mtu anakupigia, Anakutaja mpka jina Kisha anakwambia kakupenda sana anahitaji mahusiano na wewe, unamuuliza umepata wapi namba yangu. Anakwambia Wee jua TU nakupenda.
5.........
Endeleeni kutiririka