[emoji23]Mtu anakupigia simu saa 3 (alfajiri/usiku) anakuuliza umelala?
Huwa nawajibu nipo naota jua
Ni hapo sasa mchepuko anakupigia usiku upo na Memsahib wako. Upotezee au upokee? Inaudhi sana hiyo.Mtu anakupigia simu saa 3 (alfajiri/usiku) anakuuliza umelala?
Huwa nawajibu nipo naota jua
Daah simu zina majanga mengi ila wale wa niambie au kuna mapya gani huko wakazingua sana
Kuwa na namba nyingi halafu watu wanakutafuta wakiwa na shida.
Simu yako inakuwa bize kila mwisho wa mwezi tu shida zikiisha huwaoni
Ilitoka ilipo ingilia au Kule kwengine??Alietaka kukutumia hela ile anakupigia tu simu yako inazima ghafla!,hili Jambo lilinisababishaga nikameza simu kwa hasira!.