mwanamanzi
JF-Expert Member
- Feb 15, 2017
- 270
- 354
Hii KERO namba 4 mi Hadi natamani kuvunja hii lainiTuambizane kero katika matumizi ya Simu za mkononi
1. Mtu anakubip afu unampigia MDA huo huo inaita Sana hapokei kabisa, inakera Sana kiukweli
2. Anakupigia Simu, unapokea Kisha Simu inakaa dakika kadhaa unaskia Yuko Anaongea na watu wengine pembeni. Inakera Sana hii.
3. Mtu anakupigia na namba ngeni bila kujitambulisha anakuuliza,
"Kwani naongea na Nani mwenzangu?"
4.mtu anakupigia, Anakutaja mpka jina Kisha anakwambia kakupenda sana anahitaji mahusiano na wewe, unamuuliza umepata wapi namba yangu.
Anakwambia Wee jua TU nakupenda.
5.........
Endeleeni kutiririka
Usiku wa manane simu inaita unaikimbilia kuja amepiga namba ngeni, unapokea labda ikawa kuna shida kwa ndugu au jamaa..
Mtu anakuuliza "nani mwenzangu" halafu ni kwa tone ya kibashite!
Unamuuliza we unapiga kwa nani...jibu anamwambia anakupenda anataka penzi lako.
Imagine ni usiku mpevu, tone ndo hiyo kisha anaongea offals[emoji20][emoji20][emoji20]
Inakera sana