Tuambiane ukweli: Liquid Screen Protector ni scam

Umaskini mbaya sana unanunua simu unataka ukae nayo milele dah, wenzetu wanatengeneza vitu kupiga hela kupitia sisi maskini,sidhani kama mbele wanafanya upuuzi kama huu
 

Ata protector ya kioo ikidondoka inaweza kupasuka kama kawaida
Kuna girl wangu alikuwa na protector ya kawaida ila ilipodondoka kioo nacho kikapasuka kama kawaida
Sikuzote inategemea na stress


Sent from my iPhone using JamiiForums
 
Umaskini mbaya sana unanunua simu unataka ukae nayo milele dah, wenzetu wanatengeneza vitu kupiga hela kupitia sisi maskini,sidhani kama mbele wanafanya upuuzi kama huu

Hiyo ni kote


Sent from my iPhone using JamiiForums
 
Kama hujaweka, Wala usijaribu. Ni fake as hell. Simu yangu imepasuka baada ya kudondoka Chini nikiwa nimeweka hiyo kitu.

Pole, watakuja huku na kukuambiwa haikuwekewa hiyo liquid screen protector vizuri
 
Wewe umeweka glass protector kwenye simu yako au na wewe unafanya hii issue pale kariakoo?

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Kama nilivyosems mwanzo, narudia.

Glass is glass, and glass breaks!

Kioo ni kioo, na kioo huvunjika!

 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…