Tuambiane ukweli: Liquid Screen Protector ni scam

Tatizo letu ni hawa wabongo. Ananunua hiyo liquid ikiisha anafungua anaweka oil chafu halafu anasema ni protector. Akiisha kukuwekea ukaondoka hapo mbele yake mambo kwisha no guarantee. Hii ndiyo bongo mazee
 
Imenikumbusha kuna jamaa alikuwa wanauza hizi glass za kunywea maji, akawa anazigongesha ukutani na kwenye mavyuma ya garage kitu hakipasuki wala nini. Akawa anazisifu kuwa hii ni kiboko ya watoto watundu.
Kuna mtu kanunua kampa mtoto akaidondosha kwenye sakafu ikavunjika palepale.
Ninachosema kugonga na kudondosha chini ni vitu viwili tofauti,
 
Hahaa
 
Mkuu tatizo natuma video inakataa kuja!

Sent using Jamii Forums mobile app
 
[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23] aisee eti simu ndio inageuka kua protector ya hyo liquid protector

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…