Tuambiane sifa kubwa za Wanawake wa Kinyarwanda. Nataka kuvuka border!

Wana akili nyingi, wengi ni wakimya kwa sura, hutokuwa pekeyako yaan kuna binam zake utakuwa unachangia nao, utatangulia kufa wewe hilo ndo la umuhimu zaid, jiandae kujipikia msosi.
 
Kwa miaka mingi nilitokea kuwapenda sana wanawake wa Kinyarwanda kwa muonekano wao na naona vilevile wanaweza kuwa na kaheshima fulani ambayo wanaume wengi tunapenda tuzipate kutoka kwa wake zetu. Kwa kweli nikipata anayefaa, kipaumbele changu ni dada wa kinyarwanda.

Mwenye uzoefu na watu hawa anaweza kunipa ushauri gani katika hili? Pia jamii zao zinawachukuliaje watz? Nilifika Kigali pako poa sana, jamaa wanatuacha hivi hivi mbele ya macho yetu yaani. Lakini kwa kuwa nilienda kikazi sikupata muda wa kujichanganya sana. Kwa hiyo hata kwa mtazamo tu wa kimaisha, nadhani siyo wazo baya kuoa kule.

Nakaribisha ushauri. Mapovu ruksa.

Kamuulize Muhutu AY aliejitoa ufahamu kaenda kuoa Mtutsi!

Sijui kwanini mnaacha a woman who looks like you and shares DNA with your ancestors unaenda kuoa mwanamke who got nothing in common with you?

Usiniambie sijui mapenzi and blah blah,yote umepanga kwa makusudi na ukaenda kuwatongoza kwa makusudi,hakuna mungu hapo wala eti ni mipango ya Mungu!

Ni pure deliberate conscious move to choose them,there is no some self driven love towards other kind!Its an illusion!
 
Kama ulifikia kigali sii ungewachunguza kipindi upo huko...

Unawaulizia humu hutopata jibu, kila mtu atasema yake...

Kukusaidia tu, wana roho za kisomali, muda wowote kukupiga ambush ni kitu cha kawaida sana kwao...

Cc: mahondaw
 
kwa hyo hiyo sio n fursa.au umesomea shule za vipaj maalum
Mleta mada mjinga mkubwa wewe kwa hiyo ulichorudi nacho ni picha za jiji la Kigali na za Wanawake wa kinyarwanda.Mwajiri wako kapoteza pesa kulipeleka jinga Kigali.Kila siku tunapiga kelele humu kuwa mtanzania akisafiri nje aangalie kuna fursa gani za kibiashara au kiuchumi kule ambazo yeye aweza fanya au kushauri wengine wafanye wewe unatuletea habari za mitaa na Wanawake mjinga wewe.
 
Kuna mgahawa nilienda akaja mhudumu mmoja hivi binti mkali balaa. Sidhani kama nimewahi kukutana na mtoto bomba vile aisee, tena alikuwa mchangamfu. Yaani mtoto unamuangalia hata hauamini unachokiona mbele yako.

Kama wewe ni mwanaume halafu usivutiwe na kitu kama kile una matatizo makubwa.
 
Kumbe hawa mabinti wa kinyarwanda ni majanga tupu😀😦 Kwa dating je mnashauri vipi, naweza kuepuka hizo changamoto au na kwenyewe huko ni hatari faya?
 
Kwa miaka mingi nilitokea kuwapenda sana wanawake wa Kinyarwanda kwa muonekano wao na naona vilevile wanaweza kuwa na kaheshima fulani ambayo wanaume wengi tunapenda tuzipate kutoka kwa wake zetu. Kwa kweli nikipata anayefaa, kipaumbele changu ni dada wa kinyarwanda.

Mwenye uzoefu na watu hawa anaweza kunipa ushauri gani katika hili? Pia jamii zao zinawachukuliaje watz? Nilifika Kigali pako poa sana, jamaa wanatuacha hivi hivi mbele ya macho yetu yaani. Lakini kwa kuwa nilienda kikazi sikupata muda wa kujichanganya sana. Kwa hiyo hata kwa mtazamo tu wa kimaisha, nadhani siyo wazo baya kuoa kule.

Nakaribisha ushauri. Mapovu ruksa.
wanaweza kukuuza kwa vipande 30 vya fedha
 
Wanyarwanda wanatabi kuu mbili.ukiimudu moja moja itakumaliza tu.
(1)-ili akae na wewe na aone kua wewe ni mwanaume wa shoka lazma umlizishe ktk mapenzi yaa afike kilele kisawasawa(majipeupeyamwagige)kipindi unafanya yako.tofauti na hivyo baba jianda kushea na wezako.
(2)-yupo tayari kuvumili shida zako,lakin ukifanikiwa subiri kuumia.(@)kukutanguliza haoni shida ili awe mmiriki wa mali zako.kuhama hafla pindi wewe upo kazini na ucmuone mpaka kifo chako.

seconded
 
Similar Discussions

Back
Top Bottom