Tuagane mapema wana MMU

Tuko

JF-Expert Member
Jul 29, 2010
11,178
7,319
Hili ndo jukwaa la mahusiano na nadhani ni sahihi tukiagana hapa...

Wikiend hii JF haitakuwapo hewani kama tunavyofahamu. Nitawamis sana wana JF wote, but more seriously wanaMMU...

Wishing you nice weekend,,,
 
okay, good; nilifikiri na wewe unataka kuanika challenges za JF halafu utangaze kuachia ngazi kama nani tena yule.... aaah, sorry nimemsahau
 
heri yako wewe ulokumbuka ni nishasahau ati, haya weekend njema kwako wewe na wanajf wote
 
okay, good; nilifikiri na wewe unataka kuanika challenges za JF halafu utangaze kuachia ngazi kama nani tena yule.... aaah, sorry nimemsahau

Hahaha... Ulisikia wapi mwanaume anakimbia challenges?!!!
 
Kumbe 12th may ni kesho. Poa bwana.Panapo majaliwa tena 15th tutakutana.Enjoy ur tm guys.
 
Back
Top Bottom