Mwenye Duka hauzi,wanunuzi hamna, Mama ntilie hauzi walaji hamna, mwenye Restaurant hauzi sababu wanunuzi hawana pesa ya kula, Hakuna mradi wowote wa Maana ambao utasababisha pesa itiririke ifike mikononi mwa Wananchi, Mwenye bar hauzi wanywaji hakuna, hawana pesa kabisa.
Hakuna Barabara mpya wala Daraja jipya.yaani ni Kama Nchi imenasa katika Tope Zito. Wabunge wanakwenda bungeni wanapitisha bajeti hewa, huku wakijua kabisa pesa hakuna.kiini macho.
Mitaani kila mtu amenuna. Kilo ya sembe Elfu 2. Watu hawana hiyo 2000 ya kununua!. Watu wengi wanalala na njaa.hali ni mbaya mbaya mbaya, Sasa jamani. Tutokeje hapa?. Au serikali iwaelekeze wananchi wafanye nini. Hali hii ikiendelea kwa siku 21 kunzia Leo. Nina imani kuna watu wengi sana watapata utapiamlo na wengi watakufa na njaa. Taifa Kama Taifa , Tufanyaje?!