Huyu Binti namshangaa sana. Yaani yeye katika lifetime yake yote ya Siasa ameiona hii tu ya Mama Regina. Watu kila siku wanatukana humu, kwenye TV, radio, magazeti etc na hajasikika akiongea. Nina wasiwasi kama hizi hisia zake zinatoka moyoni au anatafuta kick tu.Kwasababu mwanamke mwenzako amefanyiwa hivyo ndo umekuja kukemea hapa?
Wakati Lowasa anadhalilishwa ulikuwa wapi?
CCM mmeanzisha hizi siasa. Anza kuwakemea Nape na wenzake.
I real get hard time to understand what U people have in ur minds..!!! Hivi ni nini hasa kipo kwenye mioyo yenu, chuki, dharau au..?Hivi ni kweli unamaanisha hicho kichwa cha thread yako ama bado unaendelea kudhalilisha watu. Unalia kilio cha mamba!
sawa ni udhalilishaji kwa mama mtu mzima lakini hata yeye ni chanzo cha kudhalilishwa kwa sababu alichokuwa anaongea ni ujinga.Yapo mambo mengi yamekuwa yakiendelea katika kipindi hiki, ambapo mengi katika mambo hayo ni ya hovyo, machafu na yasiyofaa katika jamii lakini yanahalalishwa kwa jina SIASA. Mambo yenye kushusha heshima ya mtu, kudhalilisha utu wake na kufedhehesha jamii yake siku hizi hayakemewi tena, sio na watu wenyewe ama taasisi bali hata Serikali yenyewe imekalia kimya mambo hayo na jamii wameyapa jina jipya, hauitwi tena UDHALILISHAJI bali inaitwa SIASA CHAFU.
Kwa muda mrefu, binafsi nimekuwa nikitukanwa sana hapa jamvini, tena na watu wenye heshima zao na wengine nawajua kwa sura na majina halisi lakini hata hawashtuki, nao huingia kwenye mkumbo huu wa matusi, kunidhalilisha na kunishushia heshima..wakati mwingine tunalazimika kuvumilia kwa sababu ndivyo ilivyo jamii yetu lakini hakika ni lazima tukemee tabia hizi zinazoimarika ndani ya jamii yetu...Watanzania walikuwa ni watu wenye kutolewa mfano kwa kuheshimiana, kupendana na kuishi kijamaa lakini hali ya sasa ni ya mazungumzo ya chuki, uhasama, kudhalilishana na kuvunjiana heshima.
Nimeiona VIDEO inayozunguka kwenye mitandao ya kijamii, ikimdhalilisha Mama Regina, huyu ni Mwanamke mwenzangu lakini pia ni kama Mama yangu mzazi kwa umri wake na mtu mwenye heshima ya kipekee katika jamii yetu, si jambo jema hata kidogo, Mimi nalipinga jambo hili kwa namna yeyote ile itakavyotafsiriwa.
Hii sio siasa, na nawaonya Vijana wenzangu wa CHAMA CHA MAPINDUZI (CCM) ikiwa wao ndio wanaozisambaza video hizi, wajue wanafanya makosa kisheria na ni kukosa adabu na heshima kwa wazazi wetu. Nimewataja Vijana wenzangu wa CCM kwa sababu VIDEO hiyo nimeiona kwenye simu ya mmoja wao akidai ametumiwa na kijana anayeitwa Peter Kasera (ambaye nae ni kijana wa UVCCM) hizi sio tabia za wanachama ama Vijana wa CCM, MNATUDHALILISHA. Na nimeamua kukutaja kwa jina halisi ili uone haya kokote ulipo na ujutie kitendo chako, ikiwezekana uombe radhi kwa kitendo hicho.
Lakini pia hawa wapiga picha wanaokuwepo kwenye shughuli za CHADEMA na UKAWA hivi mnaishi nao vipi..? maana event ile ni ya "wanamabadiliko" imekuwaje VIDEO ile imevuja..? It's obviously kuwa mpigaji picha deliberately ameamua kuitoa kwa maslahi yake na ya wale anaowajua yeye.
Maoni yangu:
Watu hawa wote wachukuliwe hatua, kuanzia yule aliyefanya kitendo kile, aliyevujisha VIDEO pamoja na hawa wanaoendelea kusambaza..kwani ni hatua ya juu kabisa ya UDHALILISHAJI aliyofanyiwa Mama Regina.
NB:
Sitoiweka VIDEO hiyo hapa, na siitaji mtu yeyote katika uzi huu ama mwingine aweke VIDEO hiyo ama yenye mfano wa hiyo, Mods stay alerted...hata kama ni SIASA jamani kuna maisha baadae..TUACHE UDHALILISHAJI, imetosha sasa.
Huyu Binti namshangaa sana. Yaani yeye katika lifetime yake yote ya Siasa ameiona hii tu ya Mama Regina. Watu kila siku wanatukana humu, kwenye TV, radio, magazeti etc na hajasikika akiongea. Nina wasiwasi kama hizi hisia zake zinatoka moyoni au anatafuta kick tu.
Wakati mwingine ni vigumu sana kuelewa anachowaza binadamu mwenzako na ngumu zaidi kutambua hisia zake za kweli..lakini niseme tu kuwa sijaridhishwa na comment yako.Huyu Binti namshangaa sana. Yaani yeye katika lifetime yake yote ya Siasa ameiona hii tu ya Mama Regina. Watu kila siku wanatukana humu, kwenye TV, radio, magazeti etc na hajasikika akiongea. Nina wasiwasi kama hizi hisia zake zinatoka moyoni au anatafuta kick tu.
Labda kipi ambacho hujaridhishwa nacho labda? Binafsi nimeelezea kua hizi unazoziita udhalilishaji hazikuanza leo kwa huyu mama, mbona hukusikika ukizikemea?Wakati mwingine ni vigumu sana kuelewa anachowaza binadamu mwenzako na ngumu zaidi kutambua hisia zake za kweli..lakini niseme tu kuwa sijaridhishwa na comment yako.
Yapo mambo mengi yamekuwa yakiendelea katika kipindi hiki, ambapo mengi katika mambo hayo ni ya hovyo, machafu na yasiyofaa katika jamii lakini yanahalalishwa kwa jina SIASA. Mambo yenye kushusha heshima ya mtu, kudhalilisha utu wake na kufedhehesha jamii yake siku hizi hayakemewi tena, sio na watu wenyewe ama taasisi bali hata Serikali yenyewe imekalia kimya mambo hayo na jamii wameyapa jina jipya, hauitwi tena UDHALILISHAJI bali inaitwa SIASA CHAFU.
Kwa muda mrefu, binafsi nimekuwa nikitukanwa sana hapa jamvini, tena na watu wenye heshima zao na wengine nawajua kwa sura na majina halisi lakini hata hawashtuki, nao huingia kwenye mkumbo huu wa matusi, kunidhalilisha na kunishushia heshima..wakati mwingine tunalazimika kuvumilia kwa sababu ndivyo ilivyo jamii yetu lakini hakika ni lazima tukemee tabia hizi zinazoimarika ndani ya jamii yetu...Watanzania walikuwa ni watu wenye kutolewa mfano kwa kuheshimiana, kupendana na kuishi kijamaa lakini hali ya sasa ni ya mazungumzo ya chuki, uhasama, kudhalilishana na kuvunjiana heshima.
Nimeiona VIDEO inayozunguka kwenye mitandao ya kijamii, ikimdhalilisha Mama Regina, huyu ni Mwanamke mwenzangu lakini pia ni kama Mama yangu mzazi kwa umri wake na mtu mwenye heshima ya kipekee katika jamii yetu, si jambo jema hata kidogo, Mimi nalipinga jambo hili kwa namna yeyote ile itakavyotafsiriwa.
Hii sio siasa, na nawaonya Vijana wenzangu wa CHAMA CHA MAPINDUZI (CCM) ikiwa wao ndio wanaozisambaza video hizi, wajue wanafanya makosa kisheria na ni kukosa adabu na heshima kwa wazazi wetu. Nimewataja Vijana wenzangu wa CCM kwa sababu VIDEO hiyo nimeiona kwenye simu ya mmoja wao akidai ametumiwa na kijana anayeitwa Peter Kasera (ambaye nae ni kijana wa UVCCM) hizi sio tabia za wanachama ama Vijana wa CCM, MNATUDHALILISHA. Na nimeamua kukutaja kwa jina halisi ili uone haya kokote ulipo na ujutie kitendo chako, ikiwezekana uombe radhi kwa kitendo hicho.
Lakini pia hawa wapiga picha wanaokuwepo kwenye shughuli za CHADEMA na UKAWA hivi mnaishi nao vipi..? maana event ile ni ya "wanamabadiliko" imekuwaje VIDEO ile imevuja..? It's obviously kuwa mpigaji picha deliberately ameamua kuitoa kwa maslahi yake na ya wale anaowajua yeye.
Maoni yangu:
Watu hawa wote wachukuliwe hatua, kuanzia yule aliyefanya kitendo kile, aliyevujisha VIDEO pamoja na hawa wanaoendelea kusambaza..kwani ni hatua ya juu kabisa ya UDHALILISHAJI aliyofanyiwa Mama Regina.
NB:
Sitoiweka VIDEO hiyo hapa, na siitaji mtu yeyote katika uzi huu ama mwingine aweke VIDEO hiyo ama yenye mfano wa hiyo, Mods stay alerted...hata kama ni SIASA jamani kuna maisha baadae..TUACHE UDHALILISHAJI, imetosha sasa.
kweli kabisa
huyu nia yake anataka tu kuendeelea kuisambaza hiyo clip
Unafiki mkubwa wa mafisadi ya ccm
NB:
Sitoiweka VIDEO hiyo hapa, na siitaji mtu yeyote katika uzi huu ama mwingine aweke VIDEO hiyo ama yenye mfano wa hiyo, Mods stay alerted...hata kama ni SIASA jamani kuna maisha baadae..TUACHE UDHALILISHAJI, imetosha sasa.
Watu wanaongea kwa points, wanaongea specific issues, wewe unaongea general issues. Mtu anauliza nini motive ya thread yako we una-generalize kua ana chuki au/na dharau.I real get hard time to understand what U people have in ur minds..!!! Hivi ni nini hasa kipo kwenye mioyo yenu, chuki, dharau au..?
wewe ulishajidhalilisha
mbaya zaidi huaminiki na hakuna kitokacho kinywani au mawazoni mwako kiko reliable
changanya lapa
Umeanza na attacks tena personal, nashindwa kuelewa nini hasa kinakusumbua.,nikadhani labda ni chuki ama dharau.Watu wanaongea kwa points, wanaongea specific issues, wewe unaongea general issues. Mtu anauliza nini motive ya thread yako we una-generalize kua ana chuki au/na dharau.
Wazee wetu wakisema kizazi hiki ni cha nyoka,hawaelewi.WALAANIWE WOOOOOTE WALIOMDHARIRISHA MAMA REGINA,SIASA ZA KIJINGA KABISAAAA.WENYE AKILI TULIPINGE KWA NGUVU ZOTE.
Vyovyote unavyowaza ndivyo hivyo itakavyokuwa...Mwa mara ya kwanza leo nimekuelewa Juliana Shonza. Lakini isije tu ikawa ni technical know how baada ya kuona jahazi linazama.