Kangambili K
Member
- Jan 16, 2016
- 17
- 17
DG wa TANAPA unajua analipwa shingapi?Kwani yeye tu ndio CEO ambaye shirika lake lina mchango mkubwa? Kwanza sijui NHC inachangia kiasi gani kwenye pato la taifa. Kwa hoja yako basi DG wa TANAPA ndo anatakiwa ale hela ndefu maana tourism ina mchango mkubwa kwenye GDP ya nchi.
Sina uhakika ila kwa vyovyote vile sio alarming kama huo wa 35MDG wa TANAPA unajua analipwa shingapi?
Sasa ikawaje akaomba serikali iruhusu wasio raia kumiliki nyumba?
Does it ring a bell? It does to me, sounds like he didn't do market analysis kujua uwezo wa watanzania.
Mwisho wa siku tunataka kujua anachangia shilingi ngapi kwenye mfuko wa serikali Halafu Ndio tulinganishe na mshahara wake, maana usione majengo meeengi anajenga ukadhani shirika linaingiza faida kumbe pengine ni mikopo
ila linajenga majumba kama zile ramani za kawe ulaya ulaya
Mkuu huko unakosema hata akilipwa 1ml nisawa tu Hao jamaa sindio wanaendaga kufanya mikutano ya BODI ULAYAKwani yeye tu ndio CEO ambaye shirika lake lina mchango mkubwa? Kwanza sijui NHC inachangia kiasi gani kwenye pato la taifa. Kwa hoja yako basi DG wa TANAPA ndo anatakiwa ale hela ndefu maana tourism ina mchango mkubwa kwenye GDP ya nchi.